DAR KUMECHAFUKA MAGARI HAYATEMBEI,BARABARA ZIMEFUNGWA HUKU DEREVA AKIPIGWA RISASI NA WENGINE WAGOMA KUENDELEA NA SAFARI

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;


Madereva wa magari makubwa aina ya Lori wafunga Barabara ya Morogoro baada ya mwenzao kupigwa risasi na Bosi wake-Yadaiwa dereva alikula njama kuiba mafuta kisha kutaka kulichoma gari.abari za asubuh hii zinasema Madereva wa Malori wameamua kuacha Magari yao njiani, ni baada ya mwenzao kukwatuliwa Risas Bandarini jana, Magari hayatembei kabisa toka Kibaha kuja Ubungo.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura,ameithibitisha kupokea taarifa za mgomo huo na kwamba anafuatilia ili kujua kama taarifa hizo zina ukweli kiasi gani. Atatoa taarifa kamili baada ya muda KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top