PICHA: HAWA NDIO MASTAA WA VPL WALIOSHUHUDIA PAMBANO LA AZAM VS MBEYA CITY

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Baada ya jana kupeleka simanzi mitaa ya Msimbazi, Amis Tambwe leo alikuwa shuhuda wa mechi kati ya Azam dhidi ya Mbeya City

Kiungo wa Simba SC Said Ndemla alikuwa jukwaani akishuhudia mechi kati ya Azam FC dhidi ya Mbeya City timu hizo zilipochuana kwenye uwanja wa Azam Complex

Deus Kaseke (mwenye kofia) akiingalia timu yake ya zamani Mbeya City wakati ikichuana na Azam FC kwenye uwanja wa Azam Complex

Kocha wa Stand United alikuwepo kuzishuhudia Azam FC na Mbeya City wakati zikichuana, Stand United ipo jijini Dar es Salaam jana ilicheza dhidi ya JKT Ruvu na Jumatano itacheza dhidi ya Simba SC

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top