KWA MARA YA KWANZA ALI KIBA AWEKA WAZI KURA YAKE 25-OCTOBER, ATAMPA NANI.>>>>BOFYA HAPA KUMJUA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
basi
WASANII BAADHI WANAOMUUNGA MKONO MGOMBEA WA CCM, JOHN POMBE MAGUFURI

Mwimbaji staa wa bongofleva Ali Kiba ameungana na mastaa wengine kama Diamond Platnumz, Wema Sepetu, Steve Nyerere, Aunty Ezekiel, Ray ‘Vicent Kigosi’ na wengine kuiunga mkono CCM na mgombea wake Urais ambaye ni Dr. John Pombe Magufuli.
Pamoja na kwamba Ali Kiba ameonekana kwenye headlines za kampeni za CCM, hakuwahi kuandika au kupost chochote kwenye kurasa zake kuhusu kiongozi gani anaeona ni sahihi kwake ila sasa ndio amefanya maamuzi hayo kwa mara ya kwanza.
Ali Kiba aliandika kwenye page yake ya Instagram >>> ‘Chaguo langu sahihi MAGUFULI#hapakazitu #KingKiba na kisha Kiba baadae akaweka picha nyingine ya Dr. Magufuli na kuandika ‘ MAGUFULI #hapakazitu #KingKiba
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top