NEY WAMITEGO AMEYAANDIKA HAYA KUHUSU WASANII WANAOKASHFU WANASIASA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Post hii inamilikiwa na msanii wa bongofleva Nay wa Mitego ambaye alitangaza toka mwanzoni kwamba anamuunga mkono mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa kwenye uchaguzi mkuu wa October 25 2015.
Nay amekua akipost vitu mbalimbali kuhusu siasa za Tanzania lakini leo September 23 amepost kwa kuandika >>> "Wasanii tubaki kuwa wahamasishaji tu kuanza kukashfu viongozi utadhani labda nawewe umekua mwanasiasa au Mgombea itakuja kutu Cost baadaye"
‘Huwa najiuliza cjui wanalipwa shiling ngapi maana wanasahau wao ni wasanii na wana mashabiki wenye Imani tofauti, pia kuna Maisha baada ya uchaguzi, endeleeni kutumika vibaya kwa njaa ya leo na kwa maslahi ya wachache na kusahau kuna kesho, Pigania unacho amini lakini sio kwa kashfa wala Matusi, Mimi naamini #Mabadiliko2015 Tukutane #October25′ – Nay wa Mitego
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top