KOCHA WA SIMBA AKATAA MECHI YA KIRAFIKI…ATOA SABABU ZAKE ZA KUFANYA HIVYO

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Dylan Kerr kocha mkuu wa Simba SC

Dylan Kerr kocha mkuu wa Simba SC
Wakati homa ya pambano la watani wa jadi kati ya Simba na Yanga ikiwa inazidi kupamba moto mechi itakayopigwa kwenye uwanja wa taifa siku ya Jumamosi.
Kiongozi wa klabu hiyo Abdul Mshangama amesema kocha kocha mkuu wa timu hiyo Dylan Kerr amekataa kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuwavaa Yanga lakini pia akieleza hali ya kambi  huko visiwani Zanzibar.
“Kocha ameamua tusicheze mechi yoyote ya kirafiki ili kuwajenga wachezaji kisaikolojia na kufanya mazoezi, utakuta asubuhi tunafanya mazoezi kwa masaa matatu halafu jioni tunaenda kwenye fukwe za Zanzibar kwahiyo hakuamua wachezaji wacheze mchezo wa kirafiki akihofia ‘injuries’”, amesema Mshangama.
“Kambi inaendelea vizuri na wachezaji wote wako katika hali nzuri, Banda jana amefanya mazoezi kwenye ‘session’ zote mbili. Morali iko juu sana na wachezaji wanatamani siku hiyo ifike tucheze na watani wetu wa jadi naamini mchezo utakuwa mzuri sana”.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top