MAMBO SIO MAGUMU KWA BARCELONA TU…KOCHA WA JUVENTUS AWA MBOGO BAADA YA MECHI HII

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

download (1)

Massimiliano Allegri kocha wa mabingwa watetezi wa Serie A Juventus amekasirishwa na kitendo cha kikosi chake kutoka draw ya goli 1-1 dhidi ya Frosinone na kuendelea kuwapa nafasi Inter Milan kuongoza ligi.
Juve wameonekana kupata shida kwenye mwanzo wa msimu kutokana na kutoka draw mechi mbili na kufungwa mechi mbili wakati wao wapo kwenye mbio za kutetea ubingwa wao.
“Sio tu nimekasilishwa na haya matokeo bali pia inanivunja moyo. Tunaitaji pasi nyingi na kidogo sana mchezo wa mmoja mmoja. Tunahitaji kufanya vizuri zaidi kwasababu sasa hivi sisi timu ambayo tunaweza kuifunga timu yoyote lakini pia tunaweza kufungwa na timu yoyote. Tunapoteza point nyingi sana na sifurahii jambo hili” ,alisema kocha huyo akiongea na TV moja huko Italy
Serie A ligi ya Italy ambayo ina club kubwa Ulaya kama AC Milan, Inter Milan, Juventus, AS Roma na nyinginezo inaonekana kupitia king’amuzi cha StarTimes.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top