NDIKUMANA WA UWOYA AIBUKIA STAND UNITED

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Ndikumana
Wakati kufungwa kwa dirisha la usajili kukipelekwa mbele, mchezaji wa kimataifa wa Burundi na aliyekua mume wa mcheza filamu maarufu wa Tanzania Irene Uwoya ameingia mkataba wa mwaka mmoja wa kuichezea timu ya Stand United ya mkoani Shinyanga.
Ndikumana alifahamika na wengi nchini baada ya kucheza klabu ya Simba na baadae kufunga ndoa na muingizaji huyo kutoka kiwanda cha Bongo Movie baada ya kuandikwa sana kwenye vyombo vya habari.
Sports Extra imepiga story na Ndikumana kuhusiana na maisha yake ya soka pamoja na mahusiano yake na mkewe ambaye hivi karibuni ameshinda kwenye kura za maoni kuwania nafasi ya ubunge mkoani tabora kwa tiketi ya viti maalum.
Hapa chini kuna story nzima ya Ndikumana akieleza kila kitu kuhusu maisha yake ya sona pamoja uhusiano wake na Uwoya.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top