Uteuzi wa Waziri Mkuu: Spika Job Ndugai Kukabidhiwa Bahasha ya Jina La Waziri Mkuu Kesho.....Ijumaa Kuapishwa

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Baada ya wabunge kumchagua Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuwa Spika wa Bunge la 11 jana, anayesubiriwa ni Waziri Mkuu mpya ambaye anatarajiwa kujulikana saa 36 zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya vikao vya Bunge, kesho Alhamisi, Bunge litapokea na kuthibitisha kwa kupiga kura jina la Waziri Mkuu wa 11 wa Tanzania ambalo Dk Magufuli atakuwa ameliwasilisha kwa Spika Job Ndugai.
Baada ya kutoa  jina la Waziri Mkuu, Dk Magufuli anatarajia kulihutubia Bunge, Ijumaa saa kumi baada ya kuwa amemwapisha Waziri Mkuu asubuhi.

Hotuba yake ya Kwanza Bungeni  itakuwa dira ya utawala wake kwa miaka mitano ijayo akiwa na kauli Mbiu ya Hapa kazi tu.


KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top