ORODHA YA WALIOKUFA KATIKA AJALI ILIYOMUUA FILIKUNJOMBE YUPO MWENYEKITI WA MKOA WA CHAMA CHA UPINZANI

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;


Mwili wa Deo Filikunjombe ukitolewa Eneo la tukio baada ya kuteketea kwa Moto kufuatia ajali ya helkopta iliyotokea jana Jioni .
Shuhuda wa ajali hiyo ambaye anamiliki kitalu cha uwindaji na kwamba game guide wao ndiye aliyeona ajali ikitokea na kuwaka moto mkubwa majira ya saa 11 na nusu jioni wakati ikitaka kutua katika airstrip yao Msegule Airstrip   Na baadae kuitaarifu TAA.

Waliofariki mbali ya Filikunjombe wengine ni Mwenyekiti wa TLP Mkoa wa Iringa Blanka Francis Haule ,Egdi Francis Nkwela na rubani wa helkopta hiyo Wiliam  Slaa.

Miili yote imepelekwa jijini Dar esalaa kutoka katikati ya mbuga ya Selou kitalu R3 ,mwili wa Filikunjombe utaagwa kesho jumamosi jijini  Dar na kusafirishwa kwenda Ludewa kwa mazishi yatakayofanyika jumapili .
CHANZO: FRANCIS GODWIN
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top