NEWZZ.....KIGOGO WA USAFIRISHAJI WA PEMBE ZA NDOVU AKAMATWA TANZANIA NA KUDAIWA NI RAIA WA CHINA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Kwa mujibu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Elephant Action League, wasafirishaji wakubwa wa pembe za ndovu kutoka China wamekamatwa na mamlaka nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya makakati maalumu wa kudhibiti biashara hiyo haramu. 

Yang Feng Glan, anayefahamika kama 'Malkia wa Vipusa' alifuatiliwa na kukamatwa na Kitengo cha Uchunguzi wa Makosa Makubwa ya Jinai, yapata mwaka mmoja uliopita, limesema shirika hilo. 

Endapo atapatikana na hatia, Yang, ambaye kwa asili ni mzaliwa wa Beijing anaweza kuhukumwa kati ya miaka 20-30 jela. Duru kutoka ndani zinadai kuwa tayari amekiri makosa hayo. 

Andrea Costa, mwanzilishi-mwenza wa Elephant Action League na WildLeaks amesema kuwa hii ni habari ambayo kila mmoja alikuwa akisubiri kwa hamu. 

"Hatimaye msafirishaji mkubwa yuko kifungoni. Tuna matumaini makubwa kuwa kukamatwa kwake ni mwanzo wa kuwashika wasafirishaji wengine na maafisa wa serikali wasio waadilifu, wanaoshirikiana nao. Lazima tukomeshe zama za 'wasioshikika' endapo tunataka kuokoa kizazi cha tembo" Alinukuliwa Costa. 

Tanzania imepoteza takribani tembo 85,000 katika kipindi cha mwaka 2009 - 2014, hii ni kwa mujibu wa sensa ya tembo ya karibuni nchini humo. 

============================== =========
============================== =========


Several high-level Chinese ivory traffickers have been arrested by Tanzanian authorities in a crackdown on elephant poaching, according to NGO Elephant Action League.





Yang Feng Glan. 
Yang Feng Glan, 66, nicknamed the “Queen of Ivory” was tracked down by the National and Transnational Serious Crimes Investigation Unit (NTSCIU) over the course of a year, the non-profit said.Having reportedly confessed, Yang – originally from Beijing – faces 20-30 years behind bars if convicted.


Photo: Wikicommons.

Andrea Crosta, co-founder of the Elephant Action League and WildLeaks said that it was the news they had all been waiting for.

“Finally, a high profile Chinese trafficker is in jail. Hopefully she can lead us to other major traffickers and corrupt government officials. We must put an end to the time of the untouchables if we want to save the elephant”.

Tanzania lost around 85,000 elephants to poaching betwe
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top