LOWASSA AJICHANGANYA KIDOGO SIKU YA JANA HUKO IFAKARA MOROGORO NA KUWANADI WAGOMBEA WA CCM...... HII HAPA HABARI KAMILI

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Lowassa ajichanganya kidogo siku ya jana huko Ifakara Morogoro. SIJUI NI KUSAHAU AU NI MAPENZI YAKE KWA CCM?


Kazi  yetu  ni  kupekua  na  kukujulisha  kinachoendelea  hapa  Tanzania  hasa  wakati  huu  wa  kampeni  za  uchaguzi.

Leo  mheshimiwa  Lowassa  alikosea  kidogo  na kujikuta  akiwanadi  wagombea  ubunge  na  udiwani  wa  CCM. 

"Nawaomba  jumapili  mnipe  kura  kwa  wingi, ila  msisahau  kuwachagua madiwani  na  wabunge  wa  CCM  ili  tuiondoe  CCM  madarakani"...Lowassa


Aliyasema  hayo  akiwa  katika  viwanja  vya   Shule ya Jangwani - Ifakara  mkoani  Morogoro.

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top