Kumetokea ajali ya helkopita ambayo Deo Filikunjombe mbunge wa Ludewa alikuwa anasafiria pamoja na watu wengine ambao idadi yao haijafamika kwasasa, wamepata ajali katika hifadhi ya Taifa ya Selous, taarifa za awali zinasema wote wako salama.
Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni kutua vibaya kwa chopa hiyo. Mhifadhi wa Selous ameongea na familia punde na kusema wanawafuata eneo la ajali.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;
Post a Comment