DAR SASA HIVI HALI NI MBAYA WATU WAPIGANA NA WENGINE KUVUNJA VIOO VYA DALADALA KISA USAFIRI..TAZAMA MKASA HUU WA AINA YAKE

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Image captionDala dala
Watu wengi hutumia mabasi madogo kusafiri kutoka eneo moja hadi jingine mjini Dar Es Salaam nchini Tanzania.
Wakati wa muda wa kuelekea nyumbani watu hulazimika kupigania viti vichache vilivyopo huku wengine wakilzimika kutumia njia nyengine kuingia vyombo hivyo vya usafiri.
Image captionUsafiri Dar
Mabasi hayo yanayojulikana kama Dala Dala yalianza oparesheni zake miaka ya 70 ili kukabiliana na swala nyeti la ukosefu wa magari ya uchukuzi.
Wakati huo safari fupi iligharimu shilingi 5 za Tanzania ambazo zilikuwa sawa na dola moja na hivyobasi kuanza kwa jina la Dala Dala.
Image captionUchukuzi Dar
Kwa sasa safari fupi hugharimu shilingi 500 za Tanzania ambapo ni robo ya dola moja.
Lakini bado abiria wanalalama kwamba wangetaka usafiri ambao ni rahisi na wenye kustarehesha.
Image captionUchukuzi Dar Es Salaam
Wanasema kuwa hilo ni swala nyeti ambalo linafaa kupewa kipaumbele na serikali inayotarajiwa.
Madereva vilevile hulalamikia bei ya juu ya mafuta ya petroli pamoja na kodi za kiwango cha juu zinazotozwa na mamlaka.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top