HABARI KUBWA:..SIRI NZITO YAFICHUKA Dr. SLAA ATIMKA TENA NCHINI NA KUKIMBILIA MAREKANI NA HATAPIGA KURA..HII HAPA TAARIFA RASMI

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Baada ya kutapatapa huku na kule na kushuhudia jinsi alivyoshusha heshima yake na kudharauliwa na wananchi Dr. Slaa kaamua kukimbilia tena Marekani na kuwatakia watanzania uchaguzi mwema.

Dr. Slaa hapa karibuni heshima yake ilishuka sana, baada ya kuanza kutumiwa na CCM. Maskini saizi baada ya kuona hana impact tena wameamua kuachana naye jumla na yeye kuamua kurudi Marekani kwa aibu...

Mytake: Hiyo ndio dhambi ya usaliti. Kamwe hawezi kuishi kwa furaha

Source: Raia Tanzania... 16.10.2015
By by Ocampo four KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top