CHRISTIANO RONALDO AMNUNULIA JORGE MENDES

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
mende
Jorge Mendes akiwasili kanisani…..
Cristiano Ronaldo an James Rodriguez walikuwa miongoni mwa wageni 400 waliopewa mwaliko wa kuhudhulia harusi ya wakala maarufu wa wanasoka,Jorge Mendes,Mendes ambaye ni raia wa Ureno alifunga ndoa hiyo kwenye kanisa la Joao Babtista lililopo mjini Porto.
mende 1
Ronaldo akiwasili ukumbini….
Ukiacha Ronaldo na Rodriguez wageni wengine waliofika ni pamoja na Sir Alex Ferguson,Rais wa Real Madrid Florentino Perez pamoja na wanandinga kadhaa wakiwemo Jose Bosingwa,Pepe na Deco.
mende 2
Mendes amejizolea sifa kwa kusimamia sajili mbali mbali zilizotikisa kwenye medani ya soka ulimwenguni.
Ronaldo ambaye ni miongoni mwa wanasoka wanaosimamiwa na Mendes alipewa heshima ya kuwa msimamizi wa harusi hiyo na taarifa kutoka nchini Hispania zinadai Ronaldo amemnunulia kisiwa huko nchini Ugiriki ikiwa ni kama zawadi ya ndoa.
mende 4
HIZI NI BAADHI YA USAJILI ALIOUSIMAMIA mendes.
mende 7
mende 5
Kiungo wa zamani wa vilabu vya Porto,Fc Barcelona na Chelsea DECO pia alikuwepo kwenye mnuso huo.
mende 8
Hapo juu ni baadhi ya wachezaji wanaosimamiwa na Mendes kwasasa.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top