MESSI KUVAA KIATU MAALUM KATIKA FAINALI DHIDI YA JUVENTUS

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
          Kuelekea mchezo wa fainali ya UEFA kampuni ya Vifaa vya michezo "ADIDAS" wametengeneza kiatu maalumu au mahususi  kwa ajili ya mshambuliaji hatari kabisa wa Barcelona "Lionel Messi". katika mchezo huo utakaozikutanisha timu ya Barcelona kutoka nchini Spain na ile ya Jeventus kutoka Italy kunatarijiwa kuwa na ushindani mkubwa ikumbukwe kuwa Juventus walimtoa bingwa mtetezi yaani Real Madrid ya nchini Spain wakati Barcelona wakimtoa Buyern Munich ya nchini ujerumani.
        Kiatu hicho chatarajiwa kuwa na mvuto katika soka kwani ni zalisho linalopigiwa chapuo na mcheza soka mahiri katika sayari Dunia, na kitazidi pata soko kubwa endapo tu mchezaji huyo atafanikiwa nyakua taji hilo kubwa barani ulaya.
 kutambua undani wa kiatu hicho hebu tazama: KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

1 comments:

huyu jamaa alistahili kutwaa ubingwa wa ulaya na bercelona yao kwa ujumla. walikuwa na msimu bora

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top