WEMA ATANGAZA NIA NDANI YA CCM

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Msanii maarufu ajulikanaye kwa jina la Wema Sepetu ajukuta akiweka wazi nia yake ya kuwa mbunge kupitia Chama Cha Mapinduzi yaani CCM kama kijulikanavyo na wengi. Msanii huyo amedhamilia kuwa mbunge wa viti maalumu mkoani Singida, akiongozana na mama yake mzazi mkoani humo kutafuta support ya wakazi wa mkoa huo kama waonekanavyo wakiwa na furaha mkoani humo. Je utitiri wa wasanii wanaoingia kwenye siasa ni solution la matatizo nchini au bungeni kumekuwa ni sehemu mojawapo ya  kujipatia pesa za haraka? Wema ameungana na wasanii wengine waangaza waliotangaza nia kama Prof Jay, Afande sele ukiachana na Sugu na Vick kamata ambao wao walishakuwa waheshimiwa.
     
   JE anastahiki nafasi hyo? swali la kujiuliza na majibu baki nayo.


Wema Swpetu akiwa na mama Yake.

Wema Sepetu akiwa jukwaani kuzungumza na wananchi wa mkoa wa singida na kueleza nia yake ya kutaka ubunge wa viti maalumu mkoani humo.

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

1 comments:

Jamani hawa wasanii wataka lipindua bunge nini mbona wengi wakimbilia huko

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top