Audio] Kauli ya Januari Makamba kuhusu kumkejeli Rais Magufuli

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;


January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.

Katika utetezi wake, Makamba amesema picha hizo hakuziweka yeye bali ziliwekwa na vijana wengine ambao ilibidi awatafute wampe ufafanuzi wa picha hizo baada ya kuzua gumzo mitandaoni na katika baadhi ya magazeti 

Hizi ndo Picha alizoweka ambazo zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli.

Picha hii inaonyesha   sokwe mtu wakiwa wamevalia suti  na  huyo mtu anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia kaptula peke yakePicha hii inaonyesha Nguruwe wakiwa wamepewa heshima ya zulia jekundu ambayo ni heshima ya kipekee anayopewa binadam pekee 

 Picha hii inamuonyesha mtu akiwa amewasha moto kwa kutumia kuni ambazo chanzo chake ni ngazi anayotakiwa kutumia kutokea nje

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

1 comments:

Mimi ni mfuasi wa UKAWA ..na wala sikubaliani na Makamba kifikra wala ki itikadi , lakini naweza tu kusema haki ambapo hizo picha zote hazina uwiano wowote na Mh Rais - wala ukijaribu kuzitafsiri bado hutopata Tafsir makini ya kile kilichokusudiwa ...vyenginevyo inawezekana ukawa ni ushawishi tu

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top