Rais Magufuli Amteua Kassim Majaliwa Kuwa Waziri Mkuu, NA HUU NDO WASIFU WAKE

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli amemteua mbunge wa jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya awamu ya tano.

Uteuzi huo umetangazwa Bungeni alhamisi hii na spika wa bunge, Job Ndugai aliyesoma barua iliyoandikwa kwa mkono na Rais  Magufuli.

Kabla ya hapo, mh Majaliwa alikuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI).

Bunge limesimama kwa muda kupisha mchakato wa wabunge kuthibitisha uteuzi huo.

Mheshimiwa Majaliwa alizaliwa December 22, 1960.

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top