Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam jana Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja.
Rais John Pombe Joseph Magufuli akitia saini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam jana Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Post a Comment