HABARI YA HIVI PUNDE: HOTELI YA WABUNGE NA MAAFISA WA SERIKALI YALIPULIWA NA WATU 15 WAMEUAWA NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Image copyrightEPA
Image captionSomalia inasema kuwa takriban watu 15 wameuwa
Utawala nchini Somalia unasema kuwa takriban watu 15wameuwa wakati wanamgambo waliposhambulia hoteli moja mjini Mogadishu.
Hoteli hiyo ambayo iko kwenye moja ya mitaa yenye shughuli nyingi mjini humo mara nyingi hutumiwa na wabunge na maafisa wa serikali.
Image copyrightEPA
Image captionShambulizi laua 8 mjini Mogadishu
Kundi la kiislamu la al Shabaab lilisema kuwa lilitekeleza shambulizi hilo.
Vikosi vya muungano wa Afrika vinasema kuwa vimechukua udhibiti wa hoteli hiyo baada ya mapigano makali.
Image copyrightAFP
Image captional shaabab wanasema ndio waliendesha shambulizi
Ripoti zinasema kuwa mlipuko huo ulifuatiwa na ufyatulianaji mkubwa wa risasi.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top