ZEC Watangaza Matokeo Ya Majimbo Mengine Manne Muda Huu

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Tume ya Taifa ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza matokeo ya ubunge pamoja na baraza la wawakilishi katika Majimbo manne, jimbo la Mtambile , Ngogoni, Mtambwe, Gando. 
Washindi wa ubunge katika na majimbo yao na idadi ya kura ni hawa wafuatao:
MTAMBILE ni Masoud Abdallah Salim (CUF) Idadi ya kura 5,106

MTAMBWE ni Khalifa Mohamed Issa (CUF) Idadi ya kura 5,663

GANDO ni Othman Haji Omary (CUF) idadi ya kura 6, 111

NGOGONI ni Suleiman Ally Yusuf (CUF) Idadi ya kura 5,660

Nafasi ya baraza la uwakilishi kutoka MTAMBILE Mshindi ni Abdalla Bakari Hassan kwa kura 5383 
Endelea kufuatilia hapa  http://soyaka.blogspot.com/ kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu   https://www.facebook.com/DUNIA-NA-Mapana-YAKE-682121828559409/ 
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top