JENERALI MWAMUNYANGE LIVE......RAIS JK AZINDUA UWANJA WA NDEGE KAMBI YA JESHI NGERENGERE MORO.... MWAMUNYANGE AMSHUKURU KWA KULIIMARISHA JESHI (Raisi Kikwete Azindua Uwanja Wa Ndege Za Kivita Mororgoro)

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana amezindua uwanja wa ndege katika kambi ya kijeshi ya anga iliyoko Ngerengere mkoani Morogoro ambapo alisema anajivunia kutoka madarakani akiwa ameiacha nchi katika hali nzuri ya kiusalama.

Rais Kikwete akizungumza katika uzinduzi huo alisema katika kipindi cha uongozi wake amefanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuliacha jeshi likiwa katika hali nzuri ambapo alieleza hakuna nchi inayoweza kuwa na maendeleo kama haina jeshi imara.

Kwa upande wake mkuu wa majeshi Davis Mwamunyange alimshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kuliimarisha jeshi la Tanzania ingawa zipo changamoto ndogodogo lakini anaamini serikali itazifanyia kazi ili kuweza kuwa na jeshi imara.
Tazama Video Ya Ufunguzi Huo Hapo Chini




KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top