NEWZZ:..CHADEMA YATOA TAMKO LA AINA YAKE LA JINSI YA KUKUBALI MATOKEO YA UCHAGUZI

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
[1.2MB] CLICK HERE TO WATCH AMAIZING VIDEO


Name:  pic+chadema.jpg
Views: 579
Size:  93.1 KB

Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA, Reginald Munisi


CHADEMA imesema kuwa itakubali matokeo ya uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 25, Oktoba 2015 kama mchakato mzima utakuwa wa huru na haki.

Akiongea na waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa CHADEMA Reginald Munisi amesema ni muhimu kwa vyama vyote vya siasa kuwa tayari na aina yoyote ya matokeo ili nchi iendelee kuwa na amani.

CHADEMA pia imeviasa vyama vingine vinavyoshiriki uchaguzi mkuu, kutangaza kukubali matokeo kama vikishindwa kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Aliendelea kusema kuwa vyama vinavyoshiriki uchaguzi mkuu, vinatakiwa kuufanyia kazi ushauri uliotolewa na Rais Mstaafu wa Nigeria Goodluck Jonathan kuwa tunahitaji kulinda demokrasia tuliyoijenga kwa kuwa tayari kukubaliana na matokeo ya uchaguzi bila kusababisha vurugu.

Akiongelea maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumapili wiki hii, Munisi amesema CHADEMA kinasubiri ufafanunuzi wa ziada kutoka NEC juu ya baadhi ya maelekezo waliyopewa wasimamizi wa Uchaguzi.

============================== ==========

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) has declared ‎to accept election results, if it the process will be fair.

Speaking to journalists on Thursday, Chadema director of elections, Reginald Munisi said it is important for all parties to be ready for any results so that the country can continue to be in peace.

Chadema also urged other parties participating in the elections to declare acceptance of results in case they lose.

“Those who are participating, especially for the highest post should take advice given by former Nigerian President Goodluck Jonathan that we need to protect the democracy in our country by accepting election results without creating chaos,” he said.

Speaking about preparation for Sunday’s general election, Munisi said the party is still waiting for clarifications from the National Electoral Commission concerning instructions given to election supervisors.

Their concerns include, allowing voters whose names are not on the permanent voters’ registry but who have identity cards to vote, increase in the number of names of voters in the registry and allowing voters with ID numbers that are different from those on voters register to vote.

“We do not accept the permission given by NEC to voters whose information is confusing, that’s why we asked them to give clarification on the matter,” he said and added that they have not yet received clarifications from NEC.



Source:
 Pesatimes
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top