Mgombea ubunge Kingwendu Afanya Maajabu ndani ya dk 4 kuyasema haya ya mwisho NA KUWASTUA WAPENZI WAKE>>> BOFYA HAPA KUSOMA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Muigizaji Kingwendu ni miongoni mwa mastaa ambao wamechukua headline za kugombea ubunge kwenye uchaguzi mkuu 2015 kama Afande Sele, Profesa J,muigizaji Frank na wengine. Mchekeshaji na muigizaji Kingwendu anagombea ubunge kwenye jimbo la Kisarawe mkoa wa Pwani kupitia tiketi ya CUF, Kingwendu hakuwahi kusikika kabisa tangu kampeni zianze sasa kabla jumapili haijafika leo amekaa na sisi kwenye exclusive na millardayo.com.
Tangu kampeni zianze huku hali ni nzuri na nina faida kubwa ya kushinda sasa hivi wazaramo wameamka wanataka mabadiliko, muda mrefu wamewapa umaskini wamewadharirisha na wamewanyima elimu lakini mimi huku nimewafufua vizuri wamenielewa na mikakati yangu watu wamenielewa vizuri na wako tayari kupiga kura kwa Kingwengu’- Kingwendu
wwwwwwwwwww
Nitakapo ingia bungeni sitofanya kazi ya uchekeshaji kazi iliyonileta bungeni ni kutetea wananchi, kuwaletea maendeleo na kufuta kero zote za wananchi si vyema tena kuingia kwenye majukwaa na kukata viuno kwa kuwa tayari nitakuwa mheshimiwa, Nitakapo kuwa bungeni nitaepukana na ile sauti niliyokuwa naitumia katika sanaa nitakuwa na sauti ya kawaida nitajenga hoja za msingi ninataka kutoa mfano kwa viongozi waliopita Kisarawe habari ndio hiyo’- Kingwendu
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top