MABOMBU YALINDIMA ZANZIBAR, NI MARA TU MAALIM SEIF KUJITANGAZIA USHINDI WA URAIS..TAZAMA BALAA HILIHUKO ZANZIBAR

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Hali  ya  Usalama  Zanzibar  sio  nzuri, Polisi  wameizingira  Ofisi kuu  ya  CUF  baada  ya  mgombea  urais  wa  chama  hicho,Maalim Seif Sharif  Hamad  kujitangaza  mshindi  dhidi ya  mpinzani  wake  ambaye  Dr All Mohamed  Shein
Hali  sio  nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana   wa  CUF  kuingilia  barabarani  wakidai  wanashangilia  ushindi wa  mgombea  wao  wa  Urais.
FFU  wameingilia  kati, wakatoa  maonyo  wakiwataka  wananchi watawanyike  lakini  wakakaidi, ndipo  nguvu  ya  ziada  ya  mabomu  ya  machozi  ilipotumika
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top