Katika hali ya kuendelea kutilia shaka mchakato wa uchaguzi Mkuu Oktoba. Leo Rais Kikwete akiwa kwenye maadhimisho ya "Nyerere day" kasema watu waliojiandikisha kwenye daftari la mpiga kura ni milioni 28.Wakati huo huo Tume ya Uchaguzi wanatuambia waliojiandikisha ni milioni 22,751,292.Nimekaa na kutafakari ni yupi tumwamini kati ya NEC na Rais?Na kwanini takwimu zitofautiane ingali zipo wazi?
By Kibo10/Jamii Forums
2 comments
Achenikupotosha umma nyie, kura ni 28 mil kwa tz yote yaan 22 bara na 5 na zaidi Zanzibar. Andiken ukweli juu ya hili
ReplyAchenikupotosha umma nyie, kura ni 28 mil kwa tz yote yaan 22 bara na 5 na zaidi Zanzibar. Andiken ukweli juu ya hili
ReplyPost a Comment