KAMA WEWE NI MPIGA KURA TAREHE 25 HII SI YA KUTOSOMA; TAARIFA MUHIMU ZA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania imetoa takwimu kuhusu wapiga kura wanaotarajiwa kushiriki uchaguzi mkuu Jumapili Oktoba 25.
Takwimu hizo zinaonyesha mikoa yenye kura nyingi pamoja na kiwango cha walizo nazo wanawake na vijana.
Idadi ya vijana waliojiandikisha kupiga kura inaonyesha mgombea atakayekuwa na nafasi nzuri ya kushinda ni atakayeweza kuvutia kura za vijana.
Idadi ya wapiga kura kwa mujibu wa mikoa
NaMkoaIdadi ya wapiga kura
1Arusha1,009,292
2Dar es Salaam2,775,295
3Dodoma1,071,383
4Geita887,982
5Iringa529,887
6Kagera1,051,681
7Kaskazini Pemba11,570
8Kaskazini Unguja9,601
9Katavi322,127
10Kigoma792,551
11Kilimanjaro800,349
12Kusini Pemba8,986
13Kusini Unguja5,077
14Lindi514,558
15Manyara678,586
16Mara892,741
17Mbeya1,397,653
18Mjini Magharibi12,948
19Morogoro1,271,951
20Mtwara728,981
21Mwanza1,448,884
22Njombe383,366
23Pwani697,533
24Rukwa459,573
25Ruvuma739,774
26Shinyanga773,273
27Simiyu718,777
28Singida648,897
29Tabora1,097,760
30Tanga1,009,753
JUMLA22,750,789
Eneo la Unguja lina wapiga kura 358,180 na Pemba 145,013, jumla ya wapiga kura visiwani Zanzibar ikiwa 503,193.
Kwa jumla, wapiga kura wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni 23,253,982.
Takwimu hizo zinaonyesha wapiga kura wanaume ni asilimia 47 na wanawake asilimia 53, ikiwa na maana kwamba wanawake ni wengi kushinda wanaume katika sajili ya kura.
Wapiga kura vijana walio na umri wa kati ya miaka 18 na 35 ni asilimia 57 ya wapiga kura wote.
Wapiga kura walio na umri wa zaidi ya miaka 50 ni asilimia 18 pekee, hao wengine asilimia 25 wakiwa na umri wa kati ya miaka 36 na 50.
- See more at: http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/10/taarifa-muhimu-kwa-wapigakura-wote.html#sthash.yK3MEDaz.dpuf KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top