IKIWA BADO SIKU 1 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU..ANGALIWA UKAWA WANACHOKIFANYA HUKO MBAGALA MUDA HUU BARABARA ZIMEJAA WATU KILA KONA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Mgombea ubunge Jimbo la Mbagala kwa tiketi ya CUF, Kondo Bungo
MGOMBEA ubunge Jimbo la Mbagala, Kondo Bungo amefunga kampeni zake za kwa kuwata wananchi wamchague yeye na madiwani wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), pamoja na mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa. Anaandika Faki Sosi … (endelea).
Akizungumza katika viwanja wa Zakhiem Mbagala Jijini Dar es Salaam, amesema kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewabagua wananchi kwa muda mrefu sasa kutokana propaganda wanazoeneza.
Propaganda hizo ni pamoja na kuwaaminisha wananchi kuwa chama cha Demokrasia na Maendeleo ni chama cha wakristo huku chama cha wananchi CUF kikitajwa kuwa ni cha Waislam .
Amesema kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Taifa (NEC) ikiharibu utaratibu watu wa Mbagala hawataweza kuvumilia endapo kutakuwa na wizi wa wazi.
Amesema kuwa anawashukuru viongozi wa dini zote kwa ushirikiano wao katia kuhakisha anatwaa jimbo hilo la Mbagala na ndio waliowaombea dua makada wake katika kuhakisha kuwa hawaibiwi kura zake.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top