MORINHO KASEMAJE BAADA YA KIPIGO TOKA SOUTHAMPTON? KAULI YAKE NI HII>>>> BOFYA HAPA KUANGALIA VIDEO…

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Mourinho wa vipigo
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema hana mpango wa kuihama klabu yake pamoja na kuwa katika kipindi kigumu zaidi hivi sasa. Lakini Mourinho akasema, “kama klabu itataka kuniondoa basi nifukuzeni wenyewe, mimi sikimbii majukumu yangu”.
Akiongea mara baada ya kupokea kichapo cha magoli 3-1 mbele ya Southampton katika uwanja wa Stamford Bridge, Mourinho ameiambia Sky Sports kwamba hawezi kukimbia majukumu yake kwani anaamini timu take itamaliza ligi ndani ya nafasi nne za juu (top four).
Mourinho anaongeza, “nataka niweke sawa kwanza, sikimbii majukumu yangu..”
“Mbili, kama klabu inataka kunifukuza, basi ifanye hivyo kwakua mimi sifikirii kuondoka”.
“Tatu, kama wakinifukuza, litakua ni jambo kubwa kufanyika katika historia ya klabu kwani watakua wamemfukuza kocha bora zaidi duniani”.
Chelsea inashika nafasi ya 16 hivi sasa baada ya kupoteza michezo minne, kushinda miwili na sare miwili.
Mourinho anasema ubingwa hautakua rahisi hivi sasa kwake kwakua kuna gepu kubwa sana kati ya Chelsea na vinara wa ligi lakini akasema hata iweje watamaliza ndani ya top four.
Wakati huo huo Mourinho amewatupia lawama waamuzi kwa madai wanaogopa kuipa maamuzi Chelsea kwa kuhofia kukosolewa na wachambuzi wa mpira nchini England.
Angalia video hapa chini Mourihno akieleza kwanini hatojiuzulu kuifundisha Chelsea…


KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top