BREAKING NEWZZ...KAMPENI MPYA ZA LOWASSA ZA "TOROKA UJE" ZAWAHAMISHA VIGOGO HAWA WA CCM AKIWEMO KINGUNGE

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;



Mwanasiasa mkongwe ambaye ni kada maarufu wa chama cha CCM Ndugu Kingunge Ngombale Mwiru ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama hicho cha siasa na amesema sababu kubwa ni kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa chama hicho kwa sasa.
Amesema hatojiunga na chama kingine cha siasa ila anaamini vijana, kinamama, na watanzania wanahitaji mabadiliko na yeye yuko upande wa mabadiliko.
   Katika mkutano na waandishi wa habari unaoendelea hivi sasa katika kituo cha television cha ITV mzee kingunge Ngombalimwilu ametangaza rasmi kujiondoa CCM sababu kubwa ni kudai anataka MABADILIKO!! Mzee kingunge ameendelea na kudai kuwa hata Magufuli amechaguliwa kwa bahati mbaya!!

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top