BREAKING NEWZZ....HALI TETE MKUU WA TUME YA UCHAGUZI AJIUZULU NA HII NI AMRI KUTOKA KWA RAIS. HII HAPA HABARI KAMILI

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Image captionWanajeshi wa umoja wa Afrika

Mkuu wa tume ya uchaguzi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amejiuzulu, na hivyo kuzusha shaka kama uchaguzi wa juma lijalo utafanywa kama ulivyopangwa.
Dieudonne Kombo Yaya,alisema alijiuzulu kwa sababu ya chagizo, kutoka kwa rais na jamii ya kimataifa.
Uchaguzi mkuu umeahirishwa mara mbili, kwa sababu za usalama.
Watu kadha wameuwawa katika ghasia zilizozidi hivi karibuni,huku malaki wakihama makwao.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top