ZIJUE TAKWIMU : ASILIMIA 60 YA PESA ZOTE ZA USAJILI ZIMETUMIKA KWA WACHEZAJI WENYE MIAKA 24 KWENDA CHINI

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
live
Ikiwa muda wa kufanya usajili umekata taratibu takwimu mbalimbali zinatoka na kuonyesha jinsi gani club mbalimbali zimeshiriki kwenye usajiili wa wachezaji.
Usajili ni pesa, zaidi ya kuangalia mchezaji huyu ana uwezo gani ili kujua gharama ya kumsajili. Club zinaangalia sana umri wa mchezaji kwasababu akiwa mdogo ana nafasi ya kucheza kwa miaka mingi.
Habari ni kwamba pesa zote zilizotumika kusajili wachezaji ambao wamejiunga na club mbalimbali, 60% ya pesa hizo zimetumika kusajili wachezaji wenye miaka 24 kwenda chini.
Mchezaji Kevin De Bruye mwenye miaka 24 ndie ametia fola akijiunga na Man City akifuatiwa na mwenzake Raheem Sterling mwenye miaka 20.
Lakini katika takwimu nyingine ni kwamba club nyingi zimetumia pesa nyingi kusajili midfielders ambapo kila mmoja ana wastani wa gharama ya £10.3m . Kundi ambalo limenunuliwa kwa bei rahisi ni magolikipa ambapo wastani kila mmoja amenunuliwa kwa £3.5m. Mabeki wamenunuliwa kwa wastani wa £5.7m na strtikers wa kiasi cha £7.1m
1441119099038_lc_galleryImage_PL_by_pos_to_3pm_jpg
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top