
UKAWA yaendelea na kampeni zake mikoani, umoja wa katiba ya wananchi kama muungano wa vyama vya upinzani nchini wamedumu katika kufanya kampeni katika kile wanchodai ni safari kuelekea ikulu. Muungano huo chini ya mgombea Edward Lowassa wanazidi jizolea wafuasi nchini na kuimarisha ushindani dhidi ya mgombea wa chama cha mapinduzi (CCM) MH John Pombe Magufuri. Tazama jinsi umoja huo ulivyojaza wananchi katika kampeni zake
Post a Comment