MSUVA AGOMA KUTOA AHADI MSIMU HUU.>>>> AHADI GANI SOMA HAPA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Simon Msuva akishangilia baada ya kufunga goli lka kwanza wakati Yanga ikicheza dhidi ya Coasta Union kwenye uwanja wa Taifa Jumamosi iliyopita

Simon Msuva akishangilia baada ya kufunga goli lake la  kwanza wakati Yanga ikicheza dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Taifa Jumapili iliyopita
Winga wa Yanga Simon Msuva ambaye ndiye anashikilia kiatu cha dhahabu (mfungaji bora wa msimu uliopita) huku akiwa ni mchezaji bora pia wa msimu uliopita amesema hawezi kuahidi kama atatetea kiatu chake cha ufungaji bora japokuwa anahitaji kufunga na kucheza vizuri zadi.
“Siahidi sana lakini kwa uwezo wa Mugu chochote kitakachotokea kwangu mimi nitamshuru maana nahitaji kufunga na kucheza vizuri zaidi”, amesema Msuva.
Simon Msuva wa Yanga (kushoto) akiwania mpira na Laurian Mpalile (kulia) wa Tanzania Prisons wkati timu zao zilipopambana Jumatano kwenye uwanja wa Taifa
Simon Msuva wa Yanga (kushoto) akiwania mpira na Laurian Mpalile (kulia) wa Tanzania Prisons wkati timu zao zilipopambana Jumatano kwenye uwanja wa Taifa
Msuva tayari ameshafunga goli moja katika mechi mbili ambazo amecheza, goli ambalo alifunga Jumapili iliyopita wakati Yanga ilipocheza mchezo wake wa ufunguzi wa ligi kuu Tanzania bara dhidi Coastal Union mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa na kumalizika kwa wanajangwani kuibuka na ushindi wa goli 2-0.
Mchezo wa Jumatano wakati Yanga ilipocheza na Tanzania Prisons, Msuva alifanikisha upatikanaji wa goli la tatu baada ya kufanyiwa madhambi kwenye eneo la hatari na Josephat wa Prisons wakati alipokuwa akielekea kufunga. Mwamuzi akaamuru ipigwe penati, penati ikapigwa na Donald Ngoma aliukwamisha mpira wavuni na kuiandikia Yanga goli la tatu.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top