JE HII INAONYESHA LOWASSA BADO ANAITAMANI CCM? NI BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE KAMPENI ZA UKAWA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Mgombea uraisi kwa tiketi ya UKAWA ndugu Edward Lowassa alijikuta katika sintofahamu baada ya kukosea salamu kwa wafuasi wa ukawa wakati wa kampeni za umoja huo mkoani Tabora na kujikuta akitoa salamu ya "CCM OYEE" ambayo inatumiwa na wapinzani wakuu wa umoja huo yaani  Chama Cha Mapinduzi. Watu wengi walikuwa na ya kusema baada ya tukio hilo, wengine walienda mbali na kusema LOWASSA alikuwa akidhihirisha mapenzi yake kwa chama hicho. Lakini mgombea huyo hakusita kupoteza wazo hilo kwa wafuasi walofurika kushuhudia kampeni hizo zilizofanyika mkoani Tabora kujua alifanya nini hebu soma maelezo katika picha hii iliyowekwa katika mtandao wa kijamii wa intagram wa clouds fm

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top