TAMBUA DALILI MBAYA ZA CCM KATIKA UCHAGUZI WA 2015

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Dalili ni mbaya sana kwa CCM... na kuna sababu nyingiiii kwann wananchi wanaichukia CCM kiasi hiki.
Kwanza ukipita mitandao yoooote.
Average free opinion polls
Lowassa 80%
Magufuli 19%
So, mitandao kama Facebook, What's up, Instagram, Private blogs, Public blogs like JF, zinampa Lowassa a very biggest margin lead over Magufuli.
So average ya mitandao yote, Lowassa 80%, Magufuli 19%.
Hii ni dalili mbaya sana kwa CCM, with only two months to go.
Na KIUTAFITI, UKIONA mpinzani wako yuko mbele kwa above 75%, yaani zaidi ya ROBO TATU, na imebakia siku chini ya 100 kupiga kura i mean LESS THAN 3 MOTHS to go voting...!!! MSHINDI KASHAJULIKANA...!! NA HII NDIO TAALUMA YA UTAFITI INASEMA HIVYO... kama UNAPINGANA NA UTAFITI
utakuwa mentally sick.
Na nikitaka kukuhakikishia, hata REDET ambayo ni ya CCM under Dr. Bana, wamekataa kutoa KURA ZA MAONI... unaijua sbb..? Ndio hiyo... kuwa Magufuli kaachwa mbaliiii sanaaa. . na REDET hawataki LAWAMA.
So, CCM wanajipa FALSE HOPE... kujipa moyo tu, ila hawana lao tena.
Ukitaka kujua pia, pitia mitaani.. katika kila watu 10, 8 ni UPINZANI au wanataka mabadiliko na 2 ni CCM au chini ya hapo! hii ni hatari sanaa sanaa
Madhambi ya CCM.
1: Escrow
2: Richmond
3: Wanyama hai kwenda nje.
4: Tembo kuuawa hovyo kwa wingi.
5: EPA.
6: MEREMETA.
7: NET GROUP solutions.
8: KUPIGA na kuumiza wananchi wengine hadi kuwaua eg Mwangosi... pia Dr. Ulimboka, nusura auawe.
9: IPTL... ni shetani wa umeme wa nchi hii, ni mmiliki watu wanamjua.
10: Wachina, serikali ya CCM imeua nchi kwa kuwaachia wachina hadi mtaani... na wachina ndio wanamaliza hadi tembo wetu.
12: AHADI HEWA za miaka nenda rudi.
13: UCHUMI KUFA.
14: KATIBA MPYA... ilivyochakachuliwa.
15: VIONGOZI KUISHI MAISHA YA ANASA.
16: Kunyanyasa vyama vya upinzani wazi wazi... ktk kesi mbali mbali tumeona hukumu zisizo na haki.
17: Kuwapiga wananchi kwa mabomu.
na kuwaudhi mnoo.
18: VIONGOZI wao KUTUKANA WANANCHI wa hali ya chini... eg Mkapa... matusi ya ajabu kweli... daah..dharau hizi zimeongeza chuki kwa wananchi mnoo.
19: FUATILIA mikutano ya CCM kwa wiki hii moja tu, WATU WOTE WALIOENDA KUMSIKILIZA Magufuli, Samia na wengine, WAMEKATA TAMAA KABISA KABISAAA... tazama nyuso zao, u can read their mind... hawana HOPE, FAITH na CCM at all, hiyo ni dalili mbaya sana... tazameni videos na picha zoootee.
20: Magufuli, ANAONGEA ktk kampeni kama ni MPINZANI... utafikiri hagombei CCM kabisaa, it means anaiponda SERIKALI YA JK... eg. Anashangaa kwann hakuna madawa hospitalini, wakati pharmacy nje tu ya hospitali dawa zimejaa, anashangaa kwanini watu hawana maji tokea uhuru hadi leo tena anaongea kwa uchungu na kushangaa...hamna majii...?������ Anashangaa kwanini wanafunzi wanakaa chini������ Anashangaa kwanini mama ntilie wanapigwa na kunyanyaswa, bodaboda kunyanyaswa, machinga kufukuzwa fukzwa kama mbwa etc etc... Magufuli ANASHANGAA ������ ANAONGEA KAMA sio CCM.....huku ni kushindwa kwa CHAMA anachogombea
SASA MWAKA huu..... ICC wapo tayari hapa nchini.... na watu wameamka kweli kweli...
CCM ni ngumu kushinda... na miaka 53 ya uhuru HAKUNA HATA UMEME wa uhakika, hakuna maji, madawa, elimu imefubaaa... kilimo kufa kabisaa... wafugaji na wakulima kuuana kila kukicha.... Tuhuma za rushwa zimetawala katika serikali iliyoundwa na CCM

CCM byeeeeeee...!!!!!!!!! HAKUNA JINSI..!!
Pitieni mitaani, ndio mtajua..
UKAWA, LOWASSA ndio chaguo sahih

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top