MWANZO WA LIGI YA UINGEREZA: UNITED KIDEDEA DHIDI YA SPURS

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Manchester united washerehekea ushindi wa kwanza wa ligi iliyoanza siku ya leo. Mechi kati ya spurs na united iliyochezwa majira ya saa 14:45 masaa ya afrika mashariki ilishuhudia united wakiibuka kidedea kwa ushindi wa goli moja lilofungwa na beki wa spurs Paul Walker baada kujaribu kuokoa mpora uliokuwa kwenye himaya ya Wayne Rooney baada ya kupokea pasi safi toka kwa Ashley Young ndani ya eneo la hatari. 
Mchezo huo ulitawala kasi na nguvu kwa ujumla tulishuhudia mwamuzi akitoa kadi tano za njano mbili kwa united na tatu kwa spurs. Hata hivyo Spurs walijitahid kusaka goli la kusawazi bila mafinikio kwani ngome ya united iliyoongozwa na Chris Smalling ilisimama imara na sifa za pekee zitamuendea golikipa mpya Romero kwa kuokoa baadhi ya nafasi za goli walizopata Spurs.
Kocha wa united aliongeza furaha ya siku yake ya kuzaliwa kwa kupata point tatu muhimu na goli moja. Kwani goli lilipofungwa kunako dakika 27 alionekana mwenye furah. 
Premier League ndo kwanza imeanza United kashaweka tatu pointi mfukoni, je tutarajie makubwa toka kwao msimu huu au ndo kutangulia na baiskeli yenye matairi ya barafu wakati wa baridi, kiangazi kikija huishia kuyeyuka na mwishoe safari hufa.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top