MANENO YA MBATIA AKILALAMIKA JUU YA FURSA ZINAZOZUIWA KWA WANA UKAWA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;

Mwenyekiti wa NCCR ndugu James Mbatia alikuwa akizungumza kwa machungu juu ya kile anachoamini ni uonevu kwa wana ukawa, hii ni baada ya kukosekana kwa fursa ya kufungua kampeni zao katika uwanja wa taifa, lakini pia kunyimwa nafasi ya kufanyia kampeni zao katika viwanja vya jangwani  kwa madai kuwa viwanja hivyo vimeshakodiw na mtu ambaye halmashauri ya ilala haikuwa tayari kumuweka wazi.
Lakini pi ametuhumu vikali juu ya kauli chafu alizoziita za matusi zilizotolewa na raisi aliyemaliza muda wake Mh Benjamini Mkapa. Hii imekuja baada ya waziri wa zamani wa mambo ya ndani Mh Lawrence Masha kuwekwa rumande kwa tuhuma zakulitukana jeshi la polisi.
Kujua undani wa malalamiko ya mwenyekiti huyo tazama hapa chini

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top