Kuelekea katika mchezo wa kufuzu makundi ya Uefa je wajua kuwa Manchester united ni klabu pekee iliyotwaa UEFA mara mbili bila kufungwa mchezo hata mmoja. Klabunhyo ilifanya hivyo mwaka 1999 na ikarudia kufanya hivyo mwaka 2007.
Mwaka 1999 Fainali ilikuwa kati ya United ya England dhidi ya Buyern Munich ya Germany ambapo united ilipata ushindi wa bao 2 kwa 1. Ikumbukwe kuwa mpaka dakika 90 united walikuwa wameshafungwa goli 1 kwa 0. Ndani ya dakika tatu za nyongeza ubao unabadilika na kusomeka 2-1, ni juhudi za mpiga kona David Becham na ole gunner soljer pamoja na Teddy shelgham.
Mwaka 2007 united waliwafunga mahasimu wao wa league kuu nchini uingereza Chelsea kwa changamoto ya mikwaju ya penati. Penati iliyookolewa na Edwin Van de sar ilitosha kabisa kuwafanya united mabingwa wa ulaya msimu huo.
Tazama furaha ya wachezaji wa united katika miaka hyo miwili iliyoweka rekodi ya kucheza mwanzo wa mashindano mpaka kuchukua ubingwa pasipo kufungwa mchezo hata mmoja.
Post a Comment