HAYA NI MANENO YA DIMARIA BAADA YA KUFAULU VIPIMO VYA AFYA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
di maria
Angel Di Maria baada ya kusafiri kwa masaa 20 na kufika Qatar ambapo siku ya Jumanne alifanyiwa vipimo vya afya, hatimaye amefaulu tayari kwa kujiunga na PSG inayoshiriki ligi ya Ufaransa.
Akiongea na BeIN Sports, Di Maria alisema maneno haya, “Nina furaha kwa kujiunga na PSG, ninachokijua ni kwamba PSG iliyoshinda makombe mengi kwenye msimu uliopita kule Ufaransa. Hiki ni kitu muhimu sana kwa club. Napia nataka kuvuka kihunzi ambacho ni robo fainali ya UEFA champions league pamoja na hii club. Naenda kujaribu kujitoa kadri niwezavyo kwenye huduma ya hii timu ili tufanikiwe. Tutajaribu kufika mbali kadri tunavyoweza ili tushinde ubingwa wa Ulaya”.
Di Maria ameweka wazi lengo lake na club hiyo ni kwamba kuchukua kombe la UEFA. Tuendelee kufuatilia mpango mzima utakavyoenda.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top