Kipindupindu chatesa jiji la dar es salaam kwa miaka mingi sasa, ugonjwa huo hatari umechangia upotovu wa nguvu kazi nyingi nchini.
Katika kipindi cha hivi karibuni imeripotiwa kuripuka kwa ugonjwa huo katika baadhi ya maeneo na kusababisha vifo kadhaa, kwa kuatambua hilo mwandishi wa kurasa hizi ameona ni heri kushare na watembeleaji, wafuasi na wapenzi wote wa kurasa hii ya UTAMU WA MAISHA juu ya dondoo kadhaa zihusuzo gonjwa hilo hatari. Kwa kutambua machache haya juu ya ugonjwa huu yawezekana tujajikinga na kuwarinda ndugu na jamaa dhidi ya maambukizi ya kipindupindu. Kujua zaid tembea na makala hii uweze kupata jua yafuatayo
1. Kipindupindu ni ugonjwa gani?
2. Dalili za kipindupindu
3. Namna ya kujikinga na ugonjwa wa kipindupindu
4. Je kipindupindu hutibika?
Home
» LOCAL NEWS
» SCIENCE AND TECHNOLOGY
» DAR YAKUMBWA NA KIPINDUPINDU: JIFUNZE JUU YA UGONJWA HUU UWE SALAMA
DAR YAKUMBWA NA KIPINDUPINDU: JIFUNZE JUU YA UGONJWA HUU UWE SALAMA
KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Post a Comment