Majina haya yatakwenda kuchujwa na kamati hiyo na kutoa majina matatu ambayo yatatoa mgombea mmoja.
TANO BORA YAPATIAKANA NDANI YA CCM
KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Baada ya kimya kirefu Mheshimiwa Edward Lowasa aliyekuwa mbunge wa CCM katika jimbo la Monduli amezungumza maneno mazito baada ya ufinyu wa nafasi yake kuteuliwa na kamati kuu ya maadili ya CCM kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho. kamati hiyo imepitisha majina matano ambayo yatakwenda kuchujwa na kuwa matatu kabla ya kupigiwa kura na na wajumbe wa chama hicho ili kupata mwakilishi mmoja katika kinyang'anyiro cha uraisi. Majina yafuatayo ndio yamepitishwa.
Majina haya yatakwenda kuchujwa na kamati hiyo na kutoa majina matatu ambayo yatatoa mgombea mmoja.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;
Majina haya yatakwenda kuchujwa na kamati hiyo na kutoa majina matatu ambayo yatatoa mgombea mmoja.
Post a Comment