SCHWEINSTEIGER ATUA MANCHESTER UNITED

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
BastianBastian Schweinsteiger amekubali kujiunga na Manchester United kwa mkataba wa miaka mitatu ambapo atakuwa akivuna kitita cha pauni milioni 7.2 kwa mwaka.
Schweinsteiger anajiandaa kusafiri kuelekea jijini Manchester kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya na akifaulu zoezi hilo atasaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo ya Old Trafford.
Bastian 2Inaamika kuwa, uhusiano mzuri uliopo kati ya kiungo huyo wa kimataifa wa Ujerumani na Louis van Gaal ilikuwa ni moja kati ya sababu zilizopelekea akubali ofa ya Manchester.
Kwa mujibu wa gazeti la Ujerumani la Bild, Schweinsteiger, 30, ameshawataarifu mabosi wa Bayern kuhusu lengo lake la kutaka kujiunga na United na yuko mbioni kutua Manchester kukamilisha vipimo vya afya pamoja na kusaini mkataba mpya.
Bastian 3Kilichobaki ni Manchester kukubaliana ada ya uhamisho na Bayern kwa ajili ya nyota huyo ambapo inasemekana vidume hivyo vya Ujerumani huenda vikahitaji dau la pauni milioni 15.
Bastian 4
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top