Ofa Ofa Ofa…ndio habari kubwa ulaya hivi sasa. Kila timu inataka kumsajili mchezaji mahili ili kuongeza nguvu kwenye club yake. Wengine wamefanikiwa ila wengine bado hawajafanikiwa kuwapata wachezaji hao.
Habaro nyingine ni kwamba Manchester united imempa ofa mchezaji wa Bayern Munich na Captain wa Germany Bastian Schweinsteiger. Ofa hiyo imeripotiwa na gazeti maarufu la daily Bild kwa siku ya Ijumaa.
Undani wa ofa hiyo unasema kwamba Manchester united wamempa ofa ya miaka 2 mchezaji huyo mwenye miaka 30 baada ya kucheza kwa miaka 17. Inasemekana kwamba thamani ya mkataba wake kwa mwaka utakua ni 10 million euros ($11.1m).
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;
Post a Comment