RAHEEM STERLING AITINGISHA LIVERPOOL

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
2A1DA60200000578-3153400-image-a-30_1436354001793

Raheem Sterling amekosa mazoezi ya Liverpool kwa siku ya pili mfululizo baada ya kuiambia klabu hiyo kwamba bado anaumwa.Sterling mwenye miaka 20 hakuwepo katika mazoezi ya jana, akidai kwamba anaumwa lakini alitarajiwa kuwasili leo. Si klabu wala mchezaji aliyezungumzia kutokuwepo kwake, ingawa inafahamika kwamba Liverpool ina utamaduni wa kutumia madaktari wake kupima afya za wachezaji.Hata hivyo, mchezaji huyo ameweka wazi kwamba anataka kutimkia Manchester City na mapema wiki hii amemuambia Meneja wake, Brendan Rodgers kwamba aondolewe katika ziara ya klabu hiyo huko mashariki ya mbali na Australia.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top