MKALI WA SERIE "A" AKARIBIA KUTUA MANCHESTER UNITED

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Darmian Matteo
Klabu ya Mnchester United inakaribia kukamilisha dili la kumsajili beki wa kulia Matteo Darmian baada ya majadiliano kati ya United na klabu ya Torino ya Italia kufikia hatua nzuri.
United wanahitaji mchezaji ambaye anaweza akacheza kama mlinzi wa kulia baada ya kocha wa kikosi hicho Louis van Gaal kusema kwamba, mbrazil Rafae ameshindwa kuimudu nafasi hiyo.
Ieleweke kwamba, Man United imekuwa kwenye mazungumzo na Darmian, 25, na wanamatumaini ya kufikia makubaliano ya kumsajili nyota huyo kwa kiasi cha pauni milioni 11.
Darmian ni mchezaji wa kimataifa wa Italia ambaye ameshaitumikia timu yake ya taifa kwa michezo 13 na michezo sita akicheza muda wote (full time), Van Gaal anaamini mchezaji huyo atamsaidia kwenye nafasi ya ulinzi wa kulia.
Darmian Matteo 1Pia Van Gaal anatarajia kumuachia Rafael aondoke kabla ya kuanza kwa msimu mpya lakini atasikiliza ofa pia juu ya mlinzi wa kati John Evans ambaye mpaka sasa bado hajapewa mkataba mpya.
source:shaffihdauda.co.tz

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top