ARSENE WANGER: SIFIKIRII KUSTAAFU HATA KWA SEKUNDE 5

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;
Boss wa Arsenal ambae anapendwa na wamiliki wa club na kuchukiwa na mashabiki kutokana na tabia yake ya kutumia pesa kidogo sana kwenye usajili. Sera za Wenger ni kutumia pesa ndogo kwenye usajili na sio kupigana kwa kulipa madau makubwa kama wanavyofanya Manchester united na Manchester city.
Swali la msingi ambalo aliulizwa manager huyu mwenye miaka 65 ni kuhusu ku-staff soka. Jibu lake kuhusu hilo swali lilikua jepesi, “Huwa najikuta na hayo mawazo lakini huwa hayakai kichwani mwangu hata zaidi ya sekunde tano na kupotea”.
KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top