Basi la New Force Lapata Ajali na Kuua Watu 12 Iringa MAJINA YA WALIOFARIKI YAJULIKANA TAZAMA HAPA

Watu 12 wamefariki dunia papo hapo baada ya lori la mbao lililokuwa likitokea njombe kwenda jijini Dar es Salaam kupasuka tairi na kugongana na basi la abiria la new force lililokuwa linatokea jijini Dar es Salaam kuelekea tunduma hii leo katika eneo...

BAADA YA Marekani Kupitia Shirika la MCC KUinyima Mabilioni Ya Pesa Tanzania Kutokana na Mzozo wa Uchaguzi ZANZIBAR HAYA NI MENGINE MPYA YALOIBUKA.

Tamko kutoka kwa Balozi Mark B. Childress kuhusu uamuzi wa Bodi ya Shirika la Changamoto za Milenia kuahirisha kupigia kura mkataba wake na Tanzania  ********* Tarehe 16 Disemba, Bodi ya Shirika la Changamoto za Milenia (MCC) haikuichagua Tanzania...

Zitto Kabwe Amkingia Kifua Profesa Muhongo kwa Hoja NZITO NA HIKI NDICHO alicho KAZIA

Waliosema Ufisadi ni Mfumo ndio wanasema leo Prof. Muhongo hafai kuwa Waziri sababu ya Tegeta Escrow. Sijui lini mahakama ilimhukumu Muhongo! Sijui lini Muhongo kawa Mfumo. Tujifunze kuweka akiba. Prof. Sospeter Muhongo alikuwa Waziri wa Nishati na...

Waziri Wa Ajira Jenista Mhagama AMFUKUZA Kazi Mkandarasi Dar......Atoa Masaa 6 Kwa Mkurugenzi wa Kinondoni

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amemtimua kazi mkandarasi anayejenga mfereji wa Buguruni kwa Mnyamani, Manispaa ya Ilala kwa kushindwa kuujenga kwa kiwango kinachotakiwa. Mbali...

Mbowe Azungumzia Kasi ya Rais Magufuli.....Adai Kuwa Mpinzani Haimaanishi Upinge Kila Kitu

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amezungumzia kasi aliyoanza nayo rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli pamoja na baraza lake la mawaziri. Akizungumza jana na mwandishi wa habari wa Azam TV, Mbowe alisema kuwa rais Magufuli...

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu Afanya Ziara ya Kushtukiza Hospitali ya Muhimbili Leo na Kukuta Mashine za CT Scan na MRI Zimeharibika Tena NA HIKI NDICHO KILITOKEA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Ummy Mwalimu amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo na kukuta mashine za CT Scan na MRI hazifanyi kazi. Katika ziara hiyo aliyoifanya asubuhi ya leo, alikutana...

Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho SABABU ZA MIZUNGUKO HIYO ZAELEZWA HAPA

Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa...
Older Posts
© Copyright 2025 UDAKU WA DUNIA | Designed By Code Nirvana Published.. Blogger Templates
Back To Top