Taarifa kwa Umma Kuhusu Mlipuko wa Homa ya Nguruwe Jijini Mwanza, HAYA NDIO WALIYOASWA KUZINGATIA, SOMA KUKOSA KIZAZI CHA WATANZANIA

KUJISHINDIA MAMILIONI KATIKA DROO HII BONYEZA HAPA CHINI UJIUNGE KATIKA BAHATI NASIBU,NA ILI UIBUKE MSHINDI HAKIKISHA KILA SIKU WABONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA;


Baada ya kuripotiwa ugonjwa wa Kipindupindu kutokea katika maeneo mbalimbali kanda ya Ziwa headlines zimerudi tena.

 

Uchunguzi uliofanywa na Maabara ya chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine SUA umethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya nguruwe katika Wilaya ya Nyamagana, Mwanza.

 

Katika taarifa iliyotolewa na Katibu tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwanza, Yohana Sagenge amethibitisha kuwepo kwa ugonjwa huo ambao unasababishwa na Virusu aina ya African Swine fever Virus ambapo madhara yake ni makubwa na husababisha kifo kwa 100%. kwa wanyama hao.

Taarifa hiyo ilisomeka hivi

Nguruwe Homa

KUJIUNGA NA KINYANG'ANYIRO CHA PIKIPIKI AINA YA BOXER BONYEZA PICHA CHINI YA MANENO HAYA NA UIBUKE MSHINDI,BONYEZA MARA NYINGI UWEZAVYO KUIBUKA MSHINDI;

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UDAKU WA DUNIA Published.. Blogger Templates
Back To Top